Maarifa Ya Uislamu-Books Download

Maarifa ya Uislamu
08 Nov 2019 | 753 views | 9 downloads | 223 Pages | 2.06 MB

Share Pdf : Maarifa Ya Uislamu

Download and Preview : Maarifa Ya Uislamu


Report CopyRight/DMCA Form For : Maarifa Ya UislamuTranscription

Maarifa ya Uislamu
Darasa la Watu Wazima
Juzuu 4
Toleo la pili
Familia ya Kiislamu
Islamic Propagation Centre
Toleo la Kwanza 2004
Islamic Propagation Center IPC
S L P 55105 Dar es Salaam Tanzania
Hakimiliki 2008 IPC
Maarifa ya Uislamu
Darasa la Watu Wazima
Juzuu ya Nne
Wachapaji Wasambazaji
Islamic Propagation Center IPC
S L P 55105 Dar es Salaam Tanzania
Chapisho la kwanza 24 Februari 2004
Nakala 1000
Chapisho la pili 1 April 2008
Nakala 1000
Kimetayarishwa na Islamic Propagation Center
P O BOX 55105 simu 022 2450403
Usanifu wa kurasa na Jalada Islamic Propagation Center
ii
NENO LA AWALI
Shukurani zote njema zinamstahiki Allah s w aliye Bwana na Mlezi
wa walimwengu wote Rehema na Amani ziwaendee Mitume wake wote
pamoja na wale waliofuata mwenendo wao katika kuhuisha Uislamu
katika jamii
Tunamshukuru Alla s w kwa kutuwafikisha kutoa juzuu ya Nne ya
Maarifa ya Uislamu kwa Darasa la watu Wazima Masomo haya ya
Uislamu kwa watu wazima yamejikita katika Qur an na Sunnah ya
Mtume Muhammad s a w
Juzuu hii imekusudiwa kuwawezesha wasomaji kufahamu vyema
umuhimu wa ndoa lengo lake katika Uislamu pamoja na wajibu wa mume
na mke katika familia Imekusudiwa kuwawezesha wanandoa ikibidi
watalikiane kwa wema Imekusudiwa vile vile iwaelekeze Waislamu
namna ya kurithi au kurithishana Kiislamu Aidha juzuu hii huwaongoza
wasomaji kubaini hila na upogo uliomo katika kampeni za kudhibiti uzazi
Na zaidi inatarajiwa wasomaji waweze kuona zile haki heshima na hadhi
kubwa aliyonayo mwanamke katika Uislamu ambazo hazipati
mwanamke yeyote katika mifumo ya maisha ya kijahiliya
Hivyo basi baada ya wasomaji kuipitia juzuu hii kwa makini
inatarajiwa watakuwa mstari wa mbele kwenye harakati za kuhuisha
Uislamu katika jamii wakitumia neema ya mali nguvu vipawa na muda
aliowajaalia Allah s w kama walivyofanya Mitume na watu wema
waliotangulia
iii
YALIYOMO
Neno la Awali iii
Utangulizi vii
Sura ya kwanza 1
Ndoa ya Kiislamu 1
Maana ya Ndoa 1
Umuhimu wa ndoa 1
Kuchagua Mchumba 7
Mahari 14
Khutuba ya Ndoa 17
Kufunga Ndoa Kiislamu 19
Ndoa ya mke mmoja hadi wanne 23
Zoezi la Kwanza 29
Sura ya Pili 30
Wajibu katika Familia 30
Wajibu Mume kwa Mkewe 30
Wajibu wa Mke kwa Mumewe 36
Wajibu wa Wazazi kwa Watoto 46
Wajibu wa Watoto kwa Wazazi 56
Mipaka katika kuwatii Wazazi 58
Wajibu kwa Watumishi wa Nyumbani 60
Wajibu kwa Jamaa wa Karibu 62
Wajibu kwa Jirani 64
Wajibu kwa Mayatima 66
Wajibu kwa Maskini na Wasiojiweza 68
Wajibu baina ya Wakubwa na Wadogo 70
Zoezi la Pili 73
Sura ya tatu 74
Talaka na Eda 74
Maana ya Talaka 74
Talaka katika Uislamu 74
Suluhu Kati ya Mume na Mke 75
Haki ya kutaliki 78
Aina za Talaka 80
iv

.


Related Books

Maarifa ya Uislamu - manmudy.files.wordpress.com

Maarifa ya Uislamu manmudy files wordpress com

na ufikiaji wa lengo la kila nguzo ya Uislamu. Ili kufikia lengo kwa ufanisi , juzuu hii imegawanywa katika sura tano zifuatazo:-1. Shahada 2. Kusimamisha Swala 3. Zakat na Sadaqat 4. Swaumu 5. Hija na Umra. Katika Toleo hili la Pili, sura hizi zimeboreshwa zaidi, hasa katika eneo la kuonesha namna linavyofikiwa lengo la kila nguzo ya Uislamu ...

Automated data collection with R : a practical guide to ...

Automated data collection with R a practical guide to

AutomatedDataCollectionwithR APracticalGuideto WebScraping and TextMining SimonMunzert DepartmentofPolitics andPublicAdministration, UniversityofKonstanz, Germany ChristianRubba DepartmentofPoliticalScience, University ofZurichandNationalCenterof CompetenceinResearch, Switzerland PeterMeiBner DepartmentofPolitics andPublicAdministration, UniversityofKonstanz, ...

Programiranje za veb (skripta) - alas.matf.bg.ac.rs

Programiranje za veb skripta alas matf bg ac rs

Glava 1 Pojam i arhitektura veba 1.1 Pojam veba Veb je mre za servera koja sadr zi programe i datoteke. Mnoge od tih datoteka sadr ze hipertekstualne veze do drugih dokumenata dostupnih

Predavanja - University of Novi Sad

Predavanja University of Novi Sad

Npr. strukturirano programiranje se nije moglo izboriti sa problemom korisni?kog interfejsa i tada je objektna metodologija i objektno programiranje postalo dominantno. Strukturirano i kompozitno programiranje su srodnije me?usobno nego sa objektnim programiranjem, pa se zajedni?kim imenom zovu procedurno programiranje.

FIRST LANGUAGE ENGLISH - WordPress.com

FIRST LANGUAGE ENGLISH WordPress com

FIRST LANGUAGE ENGLISH Paper 0500/01 Reading Passage (Core) General comments Overall candidates responded well to this paper and their answers revealed both interest ...

Mens Prayer and Bible Study Group - inforel.ch

Mens Prayer and Bible Study Group inforel ch

to the BSF we will, where possible, avoid all specific church doctrine and concentrate on the Bible itself: accepting the Bible to be the inspired word of God and not that of men, but being open to all interpretation, reserving at the same time, the right of each student/member to his own opinions and convictions.

BIOPHILIC DESIGN FOR THE ELDERLY: DESIGN OF A SENIOR ...

BIOPHILIC DESIGN FOR THE ELDERLY DESIGN OF A SENIOR

There is an increase in demand for housing that caters to the elderly because the senior population is increasing. This population, - people that are 65years or older, - numbered 39.6 million in 2009 (the latest year for which data is available). As shown in Figure 1, the population of people 65 years or older is only expected to increase.

/INDS 502c Historical Memory and Social Reconstruction

 INDS 502c Historical Memory and Social Reconstruction

SOWK 570k Historical Memory and Social Reconstruction!! !! ... 76-88). eBook UBC Library *Lambek ... sedimentation of macro social processes such as colonialism?

Physics 335 Lab 7 - Microcontroller PWM Waveform Generation

Physics 335 Lab 7 Microcontroller PWM Waveform Generation

Lab 7 - Microcontroller PWM Waveform Generation ... PIC16F87/88 Data Sheet handy to make sure you are writing to the correct bits and registers. 7-1.

APhA BOOKS AND ELECTRONIC PRODUCTS 2014

APhA BOOKS AND ELECTRONIC PRODUCTS 2014

This logo means that an eBook is available for the selected title through some of the ... Motivational Interviewing for Health Care Professionals: A Sensible Approach presents a new way of teaching the theory and practice of motivational interviewing (MI) to health care professionals (HCPs). MI has been shown to improve treatment adherence and outcomes, promote health behavior change, improve ...